Mwenzio anakutana na watu, anafanyakazi na watu, na ana socialize na watu, ukimfatilia kwa kila kauli anayoitoa kwa wengine utajipa pressure bure dada, haiwezekani awe kama mhubiri wa dini au mlokole kwamba yoyote atakae kutana nae amhubirie neno la Mungu tuuu mwanzo mwisho! Kama imetokea kuna neno kasema ukalisikia likakuudhi unamfinya kidogo tu mkononi au give him a soft slap shavuni aache au anyamaze na wala hakuna haja ya vikao au kesi kwa hilo
Maadhali anakupenda na wewe unathibitisha hilo basi dogo hilo Madame, take it easy dadaake,HE IS YOURS. Najua alichosema sio alichofanya....Hakuna kubwa la kuleta kesi dada