Wala usininunie dada siku ukiwa na hoja tena haki ikiwa upande wako sintapindisha utapewa haki yako kamili lakini kwa leo hebu kunywa maji hasira zipoe