...asante binamu, niko nimekaa mahali tulivu nasikiliza nyimbo za South ila majina yake sasa ukiulizwa na mnayeheshimiana unaweza ukasema hujui kusoma
wimbo unaitwa kuntombazane, mwingine intombiyakamama. Nway nisikuchoshe. Furahiday haipaswi kuwa na mambo mengi