Makapuku Forum

Good
Moning the boss lady
 
Aisee yani hii ni kweli kabisa
Ipo hivi :
Tajiri kubaki tajiri au vizazi vyao kuendelea kuwa matajiri ni TAHISI kuliko Maskini kuingia kwenye utajiri
Mfano huyo mtoto wa Mkulima akifeli STD 7 ndo basi tena wkt mtoto wa tajiri anaenda kusoma International School
Maskini ili ufanikiwa UNAHANGAIKA SANA
Ndio ukweli
....................
 
Hapa inabidi kuapply ile kanuni ya kuzaliwa masikini sio dhambi ila kufa masikini ndio dhambi,
Baada ya hapo unafight hadi kieleweke
Get rich or die hard trying
 
Point
Ndo maana nimesema "unahangaika sana"
......................
Yes ni kupambana tu maana hakuna namna sasa, ni kama ukikumbuka shule tulivyokuwa tunasoma kisha mtu anakwambia nyie someni mi o level ndo mwisho wangu wa kusoma bongo baada ya hapa naenda kusoma mbelez, na kweli muda ukitoka nyie mnahaha na majibu wakati mwenzenu kasha

Kwenda kusoma high School na chuo
 
We all equal but sameless
Kuna watu hawajui shida hapa duniani

....................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…