amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Huku kwemaAcha tuu....Shem ila folen inasaidia saana kupata muda Wa kuchart kama sasa hivi....
Nyanda za juu kusini kwema?
Baridi tu inatutesa
Huku kwemaAcha tuu....Shem ila folen inasaidia saana kupata muda Wa kuchart kama sasa hivi....
Nyanda za juu kusini kwema?
Amen
Poa zaidiNi poa Habar ya wewe??
CoolPoa zaidi
Man u kama simba.....wamchanganiii
hamna namna nyingine sasa zaid ya kubaki mchanganiInaumaa saana![]()
![]()
hamna namna nyingine sasa zaid ya kubaki mchangani
Dhiki ikizidi lakin ujue neema imekaribiaInaumaa saana
Neema Hamna kabisaa....tusipo kaza Haata FA tutapotezaDhiki ikizidi lakin ujue neema imekaribia
Teh teh kama vip LVG aamshe popo tuNeema Hamna kabisaa....tusipo kaza Haata FA tutapoteza
Hofu kwakoWazima wote?
Ulipotelea wapi?Hofu kwako
Mashabiki wa man u mtakufa na presha.Teh teh kama vip LVG aamshe popo tu
Hey my wiiWazima wote?
Kocha Wa ajabuiTeh teh kama vip LVG aamshe popo tu
aiseee kun mtu anaitwa Rama dee jamaa anaimba kwa isia san nilikaa nikamsikiliza bhan nikakuta du unaweza ukalia kwa sababu jamaa analalamika sn
Unapenda muzikiaiseee kun mtu anaitwa Rama dee jamaa anaimba kwa isia san nilikaa nikamsikiliza bhan nikakuta du unaweza ukalia kwa sababu jamaa analalamika sn
Salama my Wii. Kaka mzima?Hey my wii
Habar ya asubuh??
Kiroho safi tu, hamna jinsMashabiki wa man u mtakufa na presha.