Makapuku Forum

Wodikapu leo jamani? Ndo ulivyomuaga mumeo namna hii? Wenzako wajanja wanajua leo ni mapumziko sasa usijemlaumu mtu
Wodikapu ya safari hii haina mapumziko binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We usipozurura msimu huu ndo basi tena,unaenda hata kuangalia marudio[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Woooooooozeeeeerrrrr binamu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]hii hii naomba na audio yake jamani

...hii hata anko wangu Lyon Lee anaipendaga sana, inawezekana ABJ aliisikia kwa anko? Au unasemaje, na wewe uliisikia wapi?

Audio sijaipata, jaribu pandora au Spotify wanaweza kuwa na audio, inabidi ujisajiri kwanza
 
Wodikapu ya safari hii haina mapumziko binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We usipozurura msimu huu ndo basi tena,unaenda hata kuangalia marudio[emoji23] [emoji23] [emoji23]

..umetisha, kwa hiyo leo umeenda kuangalia marudio baada ya kufurahishwa na game ya kwanza sio?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124]
 
Wodikapu ya safari hii haina mapumziko binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We usipozurura msimu huu ndo basi tena,unaenda hata kuangalia marudio[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
...hii hata anko wangu Lyon Lee anaipendaga sana, inawezekana ABJ aliisikia kwa anko? Au unasemaje, na wewe uliisikia wapi?

Audio sijaipata, jaribu pandora au Spotify wanaweza kuwa na audio, inabidi ujisajiri kwanza
Jamaniiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahah yaan ww uwe unauliza unakamatwa kweupe eti haina mapumziko
Wodikapu ya safari hii haina mapumziko binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We usipozurura msimu huu ndo basi tena,unaenda hata kuangalia marudio[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…