Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Haya wasubirindo wakongwe wa huku
Haya wasubirindo wakongwe wa huku
Ahsante sana mkuu Obee
Naomba wimbo Runtown ft Nasty C _ Said
Uwaburudishe Shunie Sakayo ABJ na husna muba
Muziki wa Mdhamini: Mapumziko Kidogo Muhimu
...kama ilivyo ada, mapumziko yanahitajika sana na hata kama sio yale yaliyopo kisheria au kiutaratibu wakati mwingine ni vizuri kujipa personal space, unaamua kuwa mwenyewe kwa masaa machache, usitumie muda mwingi sana peke yako, kama hutoikaribia kamaba basi utajichua, ninasema tu wala sina nia ya kukufanya ufikirie sana.
Ni udhamini wake Da'Vinci na anadedicate kwa watu wake wa nguvu Shunie Sakayo ABJ na husna muba
Wenye timu zaoo mkuje
Nafahamu nn tena jamaniMe nilijua we unafahamu




Nyie si wa mkoani
Asanteeee ndo maana nakupenda mimi,alafu yeye hataki shikamoo ila anaongoza kwakusalimia wengine
Unaongea na simu TEngland outtttttt
Nasisitiza tuu kuwa England wanatoka leo..
Niko hapaNzuri tuuu shemela..
Ukimuona shunie mwambie namsalimia.
Nafahamu nn tena jamani
hao watu
Mm nawafahamu ndio yaani vizuri sanahao watu
Woouzeeerrr wozeeerrrr.![]()




ngoja namimi nitafute kiemoj cha kuweka mfyuu unatutesa na moto wakoWacha kabisa sasa ndo umwambie wako wapiMm nawafahamu ndio yaani vizuri sana
ngoja namimi nitafute kiemoj cha kuweka mfyuu unatutesa na moto wako
Wacha kabisa sasa ndo umwambie wako wapi