[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mpaka nimepaliwa mm nakuhakikishia tu anafika final
We muache...
England atakuwa mshindi wa 4
Eti ni kweli? Kuwa mdomo unafika kwenye masikio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani
Jana nilikuwa na mambo mengi...
Asubuhi ndio nimeemtafuta kumpa polee [emoji23][emoji23]
Hahahah si kweli jamaniEti ni kweli? Kuwa mdomo unafika kwenye masikio
Yameisha ila mlitoka [emoji3][emoji3]Ya jana jamani si yameisha
Yameisha ila mlitoka [emoji3][emoji3]
Ndio utulie sasa mama D...Tulitoka jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bailmos ya Enreque iglesias
Ndio utulie sasa mama D...
Manake England wanatoka pia..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa wanapiga dance hits tuu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nshamuonaaa kitambooooEbu tafutaneni basi mnitumie picha
Sawa shemela, tuanze nusu fainaliShemela nimebet na T kanipa mahela kwa mara ya kwanza jf nabet napewa hela nikishinda wananikimbiaga na hamu ya kubet na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa wanapiga dance hits tuu..
Kama dj wako unapiga charanga ujue tuko territory tofauti kabisaa [emoji3][emoji58]
Si umwiteNshamuonaaa kitamboooo
Kitu assurance amaaa nini [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa wanapiga dance hits tuu..
Kama dj wako unapiga charanga ujue tuko territory tofauti kabisaa [emoji3][emoji58]
Nimefurahi tu shemelaHe he mniache jamani
Sawa shemela wangu uonekane sasa mana ukipotea jukwaani unapoteaSawa shemela, tuanze nusu fainali