Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
Za upendwa jamani
Mambo zetu zipi hizo?
Mambo zetu zipi hizo?
HahahaaaaaaAki tena
Inabidi tuweke mipango za kanisa baba Mchungaji
Mungu ni mwema!
Hakuna magonjwa kubwa kuliko mamlaka alizotupa Bwana, mamlaka ya kukanyaga nyoka na ng'e! Mangojwa hayana mamlaka juu yetu katika jina la Yesu Kristo!!!!
nina kikohozi
Baba mchungaji jamaniShindwa na ulegeeee
Aleeleleleleleleelleeeeeeee
Amen Amen






Hahahaa
Mfanye kikao cha siri kingine tena!?
Mkiibuka mnagawa vyeo tu![]()
![]()
Asantee aminaTUOMBE
Mungu wetu na Bwana yetu Asante kwa Neema yako kutupa siku hii ya leo JUMAPILI TAREHE 10 JUNI 2018 Ni Furaha yetu kuona Unazidi kuachilia Neema yako ya Uzima. Tumenyenyekea mbele zako Mungu kuonesha utii wetu kwako. Tunaomba Baraka zako,futa majonzi,masikitiko kwa kila Moyo Iliyokata tamaa na kuachilia Furaha na Pendo litokalo kwako. Kutana na haja za mioyo yetu na kuzidi kutufundisha Kweli yako, Bariki kutoka na kuingia kwetu. Mikono yetu ikakuzalie matunda yadumuyo. Fungua Uchumi wetu,asiye na kazi apate kazi. Mungu wakumbuke wagonjwa na wengine wote wanaotafuta kukuona, wakutane na uso wako. Mioyo yetu ikutukuze wewe sasa na hata milele na ibada zote siku ya leo UONEKANE MFALME WA AMANI NA MFARIJI WETU MUNGU USIYESHINDWA WATANGULIE WATUMISHI WA MUNGU WOTE WATAKAOSIMAMA MADHABAHUNI POPOTE ROHO MTAKATIFU AWEPO AMINA.
SIKU NJEMA,JUMAPILI NJEMA,IBADA NJEMA![]()
Mipango ya Shunie hii
Aki unafurahi sana leo baba Mchungaji!Hahahaaaaaa
Mngh!Hapana jamani tulikuwa wengi kwa kikao
Hahahaaaaa
Yaaaan weeewe
Ndio kibra baba mchungajiKibra?
![]()
![]()