makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,490
Waliomo na wasikokuwemo wote wamo....ha hahaha, ni kama mali ya umma, fikiria taa za barabarani/mitaani zimewekwa kwa ajili ya walipa kodi lakini hata wasiolipa kodi wanafaidika nazo ha ahaha, najua mfano haujakaa sawa lakini kuna uhalisia sababu mimi huwa nayaomba sasa na wasiyoyaomba wanayasoma
Sio maneno yangu hayo maka akee ni maneno ya ABJNitake radhi shunie akee!! Hadi mimi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Kujibu maswali darasin wepesi, balaa ikija kwenye pepa wanazoa namba za viatu....tumeelewana, ana kichwa chepesi, yaani kaelewa mara moja tu. Ingekuwa ni darasani huyu ni wale wanafunzi wanaokaaga mbele kabisa halafu wana urafiki na monita
Tumeelewana SanaNaamin mmeelewana
Shemela ukicheka hivyo unanikumbusha kitu.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Tunatoaga maoff!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mbona hamtoagi maoni namuonaga binamu tu
...ha hahaha, ni kama mali ya umma, fikiria taa za barabarani/mitaani zimewekwa kwa ajili ya walipa kodi lakini hata wasiolipa kodi wanafaidika nazo ha ahaha, najua mfano haujakaa sawa lakini kuna uhalisia sababu mimi huwa nayaomba sasa na wasiyoyaomba wanayasoma
Isije kuta ana kale kaugonjwa [emoji3][emoji3]..Kapata vtu vyake huyo c bure
Mwambie anitake radhiSio maneno yangu hayo maka akee ni maneno ya ABJ
..tumeelewana, ana kichwa chepesi, yaani kaelewa mara moja tu. Ingekuwa ni darasani huyu ni wale wanafunzi wanaokaaga mbele kabisa halafu wana urafiki na monita
Kujibu maswali darasin wepesi, balaa ikija kwenye pepa wanazoa namba za viatu..
Tunatoaga maoff!!
Muulize sakayo ebu?Mweeeh
Kitu gani hiko
Isije kuta ana kale kaugonjwa [emoji3][emoji3]..
Ngoja akujeMwambie anitake radhi
Mwambie radhii aombe huko huko!!Ngoja akuje
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bakini na maoff yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binamu kunywa kinywaji chochote halafu bill ikuje kwako
Nisamehe shemela wangu.Nitake radhi aiseee nimesema mwanzo emoj nimezipenda za fire nimezicopy uko kwenye malikes