Kama unataka ushindwe kula daku we kunywa kung..FuHivi dadaake... Kama niko safarini halafu nikifuturu kwa nyama choma na kung-fu haina madhara... Maana nimesikia wewe ndo mtaalamu wa kung-fu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue mesahau USB na nina power bank, charger nayo mesahau! Hapa nabembelezea charge isiishe maana ntalia tuuuEbu njo bana ukoje lakini
Ya blue?!
Ujue mesahau USB na nina power bank, charger nayo mesahau! Hapa nabembelezea charge isiishe maana ntalia tuuu
Ina tofauti gani na redbull kwani..... Yaani inakuwaje mpaka nishindwe kula daku?Kama unataka ushindwe kula daku we kunywa kung..Fu
EwaaaaaRatco
Yaaani acha tuu aki babeYaan we bwana hivi unasahau vipi USB kwa mfano
Basi we kunywa, sawa eeh!Ina tofauti gani na redbull kwani..... Yaani inakuwaje mpaka nishindwe kula daku?
Si uniambie jamani.... Basi wacha nijichukulie redibuliBasi we kunywa, sawa eeh!
Ndiwoooo kuchoka huko veeeepeKhaaaa
Umemshushua baba wawili mpaka kaondokaKweli jamani nawaza mambo mengi ujue tetra akija
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hivi dadaake... Kama niko safarini halafu nikifuturu kwa nyama choma na kung-fu haina madhara... Maana nimesikia wewe ndo mtaalamu wa kung-fu. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtaalamu wa kungfuKama unataka ushindwe kula daku we kunywa kung..Fu
Znaitwa travelling kitsYaan we bwana hivi unasahau vipi USB kwa mfano
Mtaalamu akiongea uwe unamuelewa babu ukibisha ktakachokupata utakuja kuimba kwaya hapaIna tofauti gani na redbull kwani..... Yaani inakuwaje mpaka nishindwe kula daku?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi we kunywa, sawa eeh!
Mtaalamu akiongea uwe unamuelewa babu ukibisha ktakachokupata utakuja kuimba kwaya hapa
Basi we kunywa, sawa eeh!
Umemshushua baba wawili mpaka kaondoka
Tabia mbayaKaondoka na yake bana nimemwambia ukweli hizo habari hatutaki
Arudi dada yangu mpendwaYupo mapumziko, soon atarudi