ShikamooHebu punguza ukali wa maneno basi
...marahaba aunt, sasa niko timamu kupokea salamu yoyote.
Ulikuwa na siku nzuri leo naamini. Maana si kwa tabasamu nililoliona mchana.
Kuhusu zile ngao, hazina tofauti, ukiiona ya kidonge ndo ya maji na ukiiona ya maji ndo ya kidonge
Hebu punguza ukali wa maneno basi
Ni yule yule mmoja anatuchezea akiliBinamu sijakuelewa kabisa mie kwenye ngao kwahiyo ni nani ni nani
Muwe na ucku mwema wapendwa kesho nayo ni cku
Marahabaaaaaaaa hujambo ww ndo yupi?Mbona hutakii kuitikiaa??
Wewe ni kibibiii
LoolHivi kulalana ni maneno makali eeeh je lile neno analosemaga anko wangu la kulombana unaliweka kwenye ukali wa maneno au upole
Hivi kulalana ni maneno makali eeeh je lile neno analosemaga anko wangu la kulombana unaliweka kwenye ukali wa maneno au upole
Binamu sijakuelewa kabisa mie kwenye ngao kwahiyo ni nani ni nani
Ni yule yule mmoja anatuchezea akili
...huwezi kunielewa kichwani ukiwa na Heineken tatu na glass ya amarula, subirii uwe timamu kesho utanielewa.
Nikutakie mlalano mwema
Mmoja yupi sasa mkubwa au mdogo
...yule mwalimu Ayub
Hapana binamu ebu njo jamani kwahiyo huyohuyo ni mkubwa au mdogo
WoooiDada akee shunie nikuwekee nyimbo gani
Woyoooondio tunakulana