Yaani mimi nikitolewa nje unaona rahaaaaa......... Yaani mjukuu wangu akinikataa mazima nalala bavu na wewe..
.Shunie usinikatae basi na wewe
Apande huko juuKwani mpendwa wa dada angu we umeelewaje jamani mbona sikuelewi
Bila upambe arusi hainogiMngh!
Upambe tu
Apande huko juu
Hahahaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila upambe arusi hainogi
Bila upambe arusi hainogi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Muhenga atashindwaje kupitia unyagoni[emoji3] [emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahhaha nimemkanya lini mm mjomba ako nimemwambia ukweli yeye kapotea mm siwezi kufwa na hamu niko na mume mwingine jamani
Mhhhh.... Ili mradi tu babu akose utamuNiko na mwingine mie nakosaje mbabe huwa anakuja kunilinda humu
Wacha hizo banaWe babu niko na mbebez mie mmoja mwenyewe ananishinda
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Niache hizo vipiWacha hizo bana
Mhhhh.... Ili mradi tu babu akose utamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hmmmm.... Sawa bana.... Rey Njoo huku unitetee jamani... Nanyimwa utamu mwenzioUkose tu sio mali ya umma hii
Nipo shunie akee!! We acha tuu!Upooooooooo!!
Nini tena shunie akee!!Mh jamani
Hata nikikualika!! Huwezi kuja shunie akee!! Nitapoteza wino wangu tu.Tualikane futuru basi maka akee