Kwahiyo binamu siku zote huwa naandika pumba
..usinilishe maneno, sijasema hivyo. Sema hiki nilichosoma leo tangu mfungo uanze kimenibamba ndo maana nikakupa offer ya kinywaji.
Halafu, hata kama ningesema huwa unaandika pumba (kitu ambacho huwa huandiki) hakuna ubaya maana kwenye pumba tunazipepeta tunapata mchele wa vitumbua. Na ninavyopenda kitumbua sasa 😉
Ilikuwa nzuri binamu hofu kwako..marhaba binamu, wikend ilikuwa nzuri sana , asante wa kuuliza. Vipi wewe na family, ilikuwaje?
..unatumia kinywaji gani ujinunulie kwa faida ya kuandika jambo zuri tangu mwezi mfungo umeanza! Sema kinywaji chochote, usiogope bei, ujinunulie
Aaaah poleOooh ndio nimerudi ndio
..usinilishe maneno, sijasema hivyo. Sema hiki nilichosoma leo tangu mfungo uanze kimenibamba ndo maana nikakupa offer ya kinywaji.
Halafu, hata kama ningesema huwa unaandika pumba (kitu ambacho huwa huandiki) hakuna ubaya maana kwenye pumba tunazipepeta tunapata mchele wa vitumbua. Na ninavyopenda kitumbua sasa 😉
Asante mke mweeAaaah pole
Naomba hiyo hela binamu ya kuagiza Heineken zangu nijinywee mie
Si ulisema unamsubiri binamu akujekitumbua gani hcho binamu unachopenda
Si ulisema unamsubiri binamu akujekitumbua gani hcho binamu unachopenda
kitumbua gani hcho binamu unachopenda
...oh, yaani mmmh, hebu niulize. Sijasema natoa hela, nimesema ninakupa offer ya kujinunulia kinywaji. Yaani maana yake, kwa kuwa unakunywa wewe asi hakuna ubaya kujinunulia kwa hela yako.
Nilitegemea uniambie " asante Obe, nimejinunulia kinywaji nachopenda" hapa hata maswali yangepungua, ningekupongeza tena
...hivi hivi tu ambavyo haviwekwi kwenye karatasi za foil. Au wewe unakijua kitumbua gani?
Usiniambie kitumbua kile kinachotengenezwa kwa unga wa ngano
Si ulisema unamsubiri binamu akuje
Kuna kitumbua cha unga wa ngano
Sasa ndio offer hiyo binamu upoje wewe jamani mbona mbahili hivi
Tumosa majuzi alikuwa anakusubiri...nishakuja kitambo sana, nimevua na shati kabisa, nimebaki na vest, usifanye masakhara na uji wa pilipili manga
Mh kitumbua gani hiko binamu...unadhani najua basi! Sijui labda uniambie wewe, maana kuna vile vingine wanawekaga ndimu ya kichina ndimu ya unga kinakuwa fureshi kila siku
Offer bila kununuliwa ndio ninii...sio ubahili sema huu mwezi natoaga offer za watu wangu wa karibu kujinunulia wanavyopenda kwa hela zao. Sasa wewe ni mtu wangu wa karibu hii offer haikupiti mbali usijesema nina uchoyo wa ofa
Tumosa majuzi alikuwa anakusubiri