Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Email sitoi mpe no
...akikomaa anataka email mimi nampotezea nampa namba ya sanduku la posta la shule ya msingi
Email sitoi mpe no
Pole yke binamu jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile kwa profile si macho yangu kwenye post zako huna picha kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nitolee zako huko,mbona wewe uliweka macho tu mimi sisemi
Mnaa huyo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Chao na babuhicho nichakwake mwenyewe
AaahaaChao na babu
Ha haaa nitajitahidiSasa mwenza mbona yule hana shida anazoeleka vizuri tu
Mpe hilohilo binamu...akikomaa anataka email mimi nampotezea nampa namba ya sanduku la posta la shule ya msingi
MfyuuuuuChao na babu
Hahahaaa kwahiyo me nikiona macho tu nitakujua sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile kwa profile si macho yangu kwenye post zako huna picha kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuu
Jitahidi tu hana shida tena nenda mpaka kwa waziri mkuuHa haaa nitajitahidi
nawakumbuka jaman mbona tunakutanaga kuleUnatakiwa ukumbuke kuwa una ndugu
Macho kwa profile ukiingia ndani sasa unakutana na mapicha picha sasa we kwa profile huna picha ndani pia huna pichaHahahaaa kwahiyo me nikiona macho tu nitakujua sio
Kule ni kule nyumbani ni nyumbaninawakumbuka jaman mbona tunakutanaga kule
sawa dada nimekuelewaKule ni kule nyumbani ni nyumbani
Ewaaaa umeitika kiheshima mnooosawa dada nimekuelewa
@obe nakusalimia sana ankoKwahiyo ulitaka nikufwe na utamu wangu mtu hayupo niendelee tu kubung'aa naomba basi unisamehe
Nakusalimia sanaLee alitekwa kwenye maandamano ndo maana mkewe akatafuta mchumba mwingine