Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ndio hapo mpaka akutane na bangomfyuuu siukubali tu matokeo
Ndio hapo mpaka akutane na bangomfyuuu siukubali tu matokeo
[emoji8][emoji8][emoji8] usitususe hivyoMiss u moo cwthrt
Sasa mwenza mbona yule hana shida anazoeleka vizuri tuHuo huo. Ucheck vizuri.
Haya ukimuona tena msalimie hapa ni nyumban atarudi tuuPorini wapiiiii nilikuwa nae mmu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NilimunfollowHamjaonana insta
Binamu asante nampenda teknoMuziki: Picha Yako, Thamani Yako
....kama utakuwa umegundua kitu leo, muziki umekuja mwanzo wa Tafasiri Unavyoweza, maana yake ni kuwa ninakusalimia kwanza na kukufahamisha kuwa T.U haitokuwepo leo kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu. Ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati na ni wewe pekee ndo unalifanya jukwaa hili kuwa jukwaa la kipekee kabisa hapa JF. Yapo majukwaa mengi mazuri, lakini kwangu mimi sababu ya uwepo wako hapa Makapuku Forum ni jukwaa bora zaidi. Unaweza kutafasiri unavyoweza.
Nilikuwa na wikend ngumu kidogo, nilikueleza kuwa nilifunga na nikashindia uji wa malimau na ukwaju maana si kwa kikohozi na mafua kutokana na vumbi linaloletwa na mvua zinazonyesha sasa hivi. Anyway, siwezi kulalamika maana malalamiko yangu hayawezi kunisaidia kama sijaamua kuchukua hatua mwenyewe. Nisikuchoshe na kabobo wakati kipengele hiki ni kwa ajili ya burudani.
Muziki sasa, asante kwako wewe unayenisoma sasa hivi na hongera kwa wote ambao mmelichangamsha jukwaa kwa sogozi zinazovutia, ila mzeewakungoa kampeni yako si ya karne hii, nakutakia mafanikio na umebadili picha naona khali si mbaya, na uliniuliza kama nina utani na wewe, la, sina utani yale mambo ya mwarabu koko unamjua aliyeyaanzisha.
Jamani usipotee hivi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kamwe sitaweza kupasahau nyumban
Yaaan anatuuzi wote sijui yupojeAlafu ligumuuu kuelewa,me ananiuzi jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh
Uko na nn lakiniAiseee
Sijambo mimi
Shkamoo.....
Usiniambie umemkufia kakangu jamani
Marahaba, Yupi huyo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na wewe hupitwi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchana nimeona umekufwa ukaozaa!!
Saivi naunga dots mbona kama ni kakangu yule jamaniii...
Namuadmire tu, nothing more!
Usijali mwaya hiyo ni kawaida!!
Wala hana tabu kabisaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usimwambie lakini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NimechekaSawasawa ukumbuke cku akikuacha ss ndo wakulia na ww so uctusahau
Huo mda wa kumpa salaam zako kwakweli sinaHaya ukimuona tena msalimie hapa ni nyumban atarudi tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilimunfollow
MniwacheeeYaaan anatuuzi wote sijui yupoje
Mtu gani amenifollow hana picha akunda anshunguie imi tu akhaaa nikamunfollow sitakagi shida raha ya insta wrote mchunguliane mapicha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila la kheri shemelaChungu cha sita ...tuzidi kufunga na kumuomba Allah
KwendraaaaaaMniwacheee
We cheka utakaona hapa kanavotia huruma sie ndo wakuhangaika pole mwaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka