achaaaa....kabisaaa ABJ nakupa ruksa..uniponde kama nyanya"" ukimaliza " hivyo unitwange kama kisamvu... nishalewa mie ""na mahaba yko"" siko radhi kuona Tamu zako na zikosa ""Woyoooooooooooooo achana na swala la kukulana jamani la mtu na mbebez wake
Kumbe eeeeee wewe na huyu lenu moja?Woyoooooooooooooo achana na swala la kukulana jamani la mtu na mbebez wake
DuuuhAchana nae huyo team shamma
Amezoea huyoAmeanza kumtetea ndugu yake tena eti mi naleta mambo ya kizamani
kumbeeee"" asante sana nimeshajua kwanini napigwa vita "" waliosema ndovu anaponzwa na pembe zake hawakukosea ""Achana nae huyo team shamma
Huyo ni mbebez wa abj lazima nimkubali wenyewe wameshapendanaKumbe eeeeee wewe na huyu lenu moja?
Nawahi dawa boda nataka kurudi Tanzanian nikamwambie mdogo wangu asiolewe na mhuni huyu
Ndio ujionee sasakumbeeee"" asante sana nimeshajua kwanini napigwa vita "" waliosema ndovu anaponzwa na pembe zake hawakukosea ""
Upo ukweni unatakiwa kuwa mpoleduuuhh " shemeji naona umeniganda kama ruba
Aisee...sawa ""Upo ukweni unatakiwa kuwa mpole
Yaani leo mmeniweka kwenye hilo kundi pole sanakumbeeee"" asante sana nimeshajua kwanini napigwa vita "" waliosema ndovu anaponzwa na pembe zake hawakukosea ""
chief " asante sana kwa uhusika wako "" kwakweli jukwaa lilichangamka...karibu tena " usisite kututembelea kupukuz"" next ukirudi utamkuta mdogo wako akiwa mjamzito ""Wakuu niwatakie jion njema
Samahan kwa walio kwazika kwa namna moja au nyingine
Yote hii ni kufanya jukwaa letu liwe kama sehemu ya kukumbushana kuelimishana
Leo halali nyumbaniAmezoea huyo
Nimesha fika hapa boda ya kyelaUtavunjika miguu kaka ake
Mbele ya kaka mie cna kauliLoooohh hata wewe shemeji unaniwekea kisu cha shingo""