Makapuku Forum

ha ha ha haaaa aiseee"" sawa brother " ngoja niwe mpole nitafanyaje mie ilhali mpini umeshika wewe...lawama zangu zote nazipeleka kwa hackers maana ndio waliosababisha "" mpaka mimi na wewe ""

kwa jina la bwana na kemea hili pepo linalotaka kutugombanisha "" Tokaaaaa"" pepo la hackers tokaaa"" pepo la kutaka nishindwe kumuoa ABJ tokaaa"" kwa jina la bwana yesu bwana wa mbingu na ardhi "" naomba upokee maombi yangu"" ulainishe moyo wa huyu shemeji yangu " uwe laini kama mafuta ya korie "" ayabariki mahusiano Yetu "" yapate kusimama kwenye kilele cha mlima sayuni ..bwana jina lako lihidimiweee....Aaameeeeeen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…