Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Moud hatujambo jamani za wewe za kutususaJamani hamjambo humu ndani
Moud hatujambo jamani za wewe za kutususaJamani hamjambo humu ndani
Hahhahahhah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Katika zunguka zunguka umenionea Husna muba Mahala?
Tupooo shem jamani karibuMakapuku bado mupoo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuende wapi sie
Nilikuwa nabebishwa mieUlikuwa wapi jamani
NshasahauNini jamani
Hahahha ebu acha uchokoziShem yuko wapi?
Amen[emoji524]Baba yetu na Mungu wetu tunakushukuru sana kwa wema wako ,fadhili zako na Ulinzi wako hata kutufikisha siku hii njema sana ya leo JUMANNE MAY1, 2018 Baba Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.
Tunakuomba, utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo maneno matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali
Tunaomba Utulinde siku ya leo Utukinge na ajali na hatari zote za mwili na za roho Ukawatume Malaika Walinzi Kila tunapokuwa Baba na Utupe nguvu ya kukutumikia wewe.
Wabariki watu wote katika Familia zetu, Wasaidizi wetu, wanandoa ,Watoto, Ndugu Jamaa ,majirani na Marafiki Damu ya Yesu itufunike.
Walinde wenye mahitaji na shida mbalimbali Ponya Wagonjwa Fariji Wafiwa Wajane Wagane Yatima Wafungwa na wote Walioumizwa na kukata tamaa wape Tumaini Baba.
Walinde Wasafiri wote Majini ,Nchi kavu, Angani uwe Dereva Utufunike kwa Damu yako ya Thamani Tutokako na Tuendako
Bariki kazi zote za mikono yetu Ukaonekane kwetu katika Ajira ,Ujasiriamali Biashara tupate riziki halali na tukutumikie vyema.
Mungu wetu na Baba yetu tunakuomba utusaidie tuwe na Upendo wa kweli tukawe msaada kwa wenzetu kimwili na kiroho na tusipungukiwe Baba tuitende kazi yako bila kuchoka wala kukatishwa tamaa..Tunayo mipango mingi mbele yetu Baba tunaomba UKATUFANIKISHE ,kila jambo tulilopanga lifanyike kwa utukufu wa jina lako takatifu
Asante Baba kwakuwa Unatupenda na Utatutendea sawasawa na Mapenzi yako.
Tunaomba haya yote kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu amen.
Damu Takatifu ya Yesu ikanene mema siku zote.[emoji1374]
SIKU NJEMA[emoji1374]
mmmh makapuku kweli, nimekosea njia samahani sana, ila naulizia njia tu ya jkwaa la mitindo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We endelea utalikuta mbele huko[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Woyooooooooo na yuleyule mbebe nimjuaye mie mzee wa new name madameNilikuwa nabebishwa mie
Khaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbebisho
Ahsantw Shunie kwa MagazetiMornie allView attachment 762424View attachment 762425View attachment 762426View attachment 762427View attachment 762428View attachment 762429View attachment 762430View attachment 762431View attachment 762432View attachment 762433View attachment 762434View attachment 762435View attachment 762436View attachment 762437View attachment 762438View attachment 762440
Sawa bwanaMimi apa jamani
HahahaWoyooooooooo na yuleyule mbebe nimjuaye mie mzee wa new name madame
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Woiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko unaumwa nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kama hutaki utamu wako usikule na mtu naomba tusiharibiane
Bora kama hujala virungu mkuu.Nina bango langu hapa linasomeka ''Mhutu rudi kwenu"
Nimezuiwa kuingia ndani, so sad!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3],Mkuu nakuona unapiga miguu yote kama Mess
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka picha
Asante sana shem barikiwaAhsantw Shunie kwa Magazeti