omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,687
Tupo pamoja.Makapuku bado mupoo?
Tupo pamoja.Makapuku bado mupoo?
Ukimtafuta fb kwa jna hlo yupo juz nilimuonaDaaah! Sawa,
Siku ukimuona mpe salaam zangu.
Basi hapa kupo njema sanaTuende wapi sie
Poa.Abeee,mambo yko
Karibu vuta kiti ukaeBasi hapa kupo njema sana
Huku kwema cjui kwenuPoa.
Za huko..
Nipe jamvi sitaki kitiiKaribu vuta kiti ukae
Ww tu mkuu ukitaka jamvi lpo ukitaka kiti sawaNipe jamvi sitaki kitii
Nimezoea jamvi mtu wa pwani mie.Ww tu mkuu ukitaka jamvi lpo ukitaka kiti sawa
Hahahaaa kuhusu jikoni ucjaliNimezoea jamvi mtu wa pwani mie.
Haya korofisha jikoni huko basi
Nina bango langu hapa linasomeka ''Mhutu rudi kwenu"Oooh sawa mkuu,
Nivyema hutupe mirejesho ya hapa na pale juu kinachoendelea hapo.
Naomba kupendekeza.
PoaHabari zenu humu ndani?
Mkuu nakuona unapiga miguu yote kama MessOoh mkuu DAVET,
Ni njema sana.
Je ni yeye?Ukimtafuta fb kwa jna hlo yupo juz nilimuona
Mungu anabariki aisee, vipi huko ulipo mambo yanaenda?Salama umzima
HodiiiHahahaaa kuhusu jikoni ucjali
Salama shemu uhali ganiHbr ya mapumziko wapenz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unachokitafuta utakipataNina bango langu hapa linasomeka ''Mhutu rudi kwenu"
Nimezuiwa kuingia ndani, so sad!
Ni yy ndioJe ni yeye?