Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Huyo mwingine atakuwa ni wake me niko na Davet tu hakunaga mwingine[emoji108] [emoji108] [emoji108] aseme hapahapa
Huyo mwingine atakuwa ni wake me niko na Davet tu hakunaga mwingine[emoji108] [emoji108] [emoji108] aseme hapahapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani hii screenshot naiweka wallpaper kabisa mana sio kwa mahaba hayo ya Mwifwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akipotea tunaandamanaApotee na mahaba yote hayo
WoyooooooooooTunaenda kubarizi na Babe jioni hii
Hatoki humu siku asipotuona anaanza kututafuta majukwaa mengine turudi makapukuKwakweli yani muda wote namuona humu yani id yake ndio imekua kama icon ya hii thread
Hahaha yaani wewe uko kimbele frontUtambulisho ni muhimu mke mweee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ameshapoa jamani
Naukumbuka sana, ni vyema tuanzie chini wote kwa pamoja ili tuje tufaidi jasho letu woteKikao muhimu kwa hatua moja mtakayopiga mbele siunakumbuka ule ushauri wa ukhuty lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo ako na super glue akitoka hapa entertainment akirudi makapuku tu
Wa kwake peke yake tu jamani hakuna mwungine mke mweeUciondoke shemela huyo mchumba wako pekeako
Si unajua maneno maneno lazima yawepo tu mchumbaNilitaka kushangaa sasa jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uuhuuuuh! Afadhar presha imeshuka sasa
MhBabe tusubiri kidigo kelele ipungue kibarazani
Kuna raha nyingine zaidi ya kuwa na ubavu wako tena anayekujali kwa kila haliUmezoea nini eti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntaanza kutembelea na kwingine lolKwakweli yani muda wote namuona humu yani id yake ndio imekua kama icon ya hii thread
Wooyoooooo umpate sasa wa kukupenda na kukujali kama hivyo huwa wapo wachache sanaKuna raha nyingine zaidi ya kuwa na ubavu wako tena anayekujali kwa kila hali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu weweeeeeeeehh [emoji119][emoji119]
Hahah!!Bebe achana na mambo za walimwengu na maneno yao hivi password si unayo ya jf hakunaga kama wewe unalijua hilo au unataka nikufwe eenh
Ninachokutakia ni safari njema tu hamna lingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeh! soon nawaaga humu mtanitia uchizi
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawaNaukumbuka sana, ni vyema tuanzie chini wote kwa pamoja ili tuke tufaidi jasho letu wote