Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
Hahah!! Haina shida shemu mimi nakazia tu nati zilizolegea[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] embu muache baby wangu jaman
Hahah!! Haina shida shemu mimi nakazia tu nati zilizolegea[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] embu muache baby wangu jaman
Tupo poa jamani miss u umepotelea wapii jamaniMko poa makapuku
HahahahahaaaaaHahah!! Siitumi sehemu ila nataka kuhifadhi kama silaha zangu za baadae huko vitani...
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli acha tujulikane tuBibie hataki kututambulisha dawa ni kujulikana kwa lazima[emoji23] [emoji23]
Babe wangu[emoji8] [emoji8] [emoji8]jaman babe
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23] sisi ni watoto wa kiume bhn sio kila kitu kuwaambia wakina dada
Shemela wetu MwifwaShemela huyooo
Binamu ukuje jamaniTumuombe Obe atatusimulia
Nafurahi kujumuika nanyi leo humuNko nyumbani sio kwa kujiachia huku[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona sasa umepata cha kusimulia nyumbani[emoji16][emoji16] Nilikua napita jirani hapo nikasikia harufu yako ikabidi nichungulie kidogo aisee sio poa...
Babe wangu
WoyoooooooooooBabe nipo hapa nimejichokea sina hali kabisa
AsanteeeWewe shangaa tu hivyo hivyo
Khaaaahahaaa umechelewa
Ahsante shemu[emoji120] [emoji120]Hongera shemela
[emoji23][emoji23][emoji23]Atuache kabisa Babe wangu
kheee nyie ndugu zangu mbona siwaelewi jamanMchumba wa Shunie huyo
Ungereply muda ule ule ningekuwekea kabisaNaomba uniwekee picha jamani ya lunch
Hamna alikuwa anasema ye jf hana mbebez jamani kila mtu ako na bebe wake kasoro yeye ndio namwambia lile gundu limeisha mpendane tu jamani hakuna namnaembu nidokeze basi nigundu gani tena
usikaze basi sanaHahah!! Haina shida shemu mimi nakazia tu nati zilizolegea