Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Khaaaa kwani mpo mkoa mmojaHahahaa twende mi nna usafiri wa fastafasta buree kabisa
Khaaaa kwani mpo mkoa mmojaHahahaa twende mi nna usafiri wa fastafasta buree kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan maka hivi we ni mtu wa pwani eenh na nahisi utakuwa wa bagamoyoAhsante sana, mie yangu niwekee kiporo nitanywea kahawa asubuhi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli zipunguzwe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ee mama napunguza stress
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Abeeh
Jana na leo
Naona tupo darasani sasa
Kweli mke mweee ntajtahidiNdio mfanye muonane kuna leo na kesho
heheheh inapendeza sana.Naaam mlinzi wang
Namwitikia kwa niaba jamani Baba D
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mumeo kaniambia nitume no kumbe mnanijaza
sawa unipitishie hizo keki pamoja na mayoniese [emoji23][emoji23]Ww ntakupitishia hapo bomani weekend hii
ooh safi sana mkuu,Kweema
Km huamini basi sikushikii fimbo ili uamini.Mfyuuuuuuuu kwendraaaaaa
Hahaa... Kazi ipo.Bado anaandamana
Duh!! Pole shunie akee.[emoji17] [emoji17]Najua mie niko napambana na hali yangu
Mayonise atakupa Obe me cjui znakopatikanasawa unipitishie hizo keki pamoja na mayoniese [emoji23][emoji23]
habari kwakweli ni nzuri kiasi,Nko poa hbr ya kupambana na hali
asante sana, nishafika mpaka ndani mkuu.Kwema mkuu, karibu
Yoteeee kijiji hicho!! Kipo mkoa wa pwani.Yoteeeeeeee
Asanteeooh safi sana mkuu,
Ndo vtu gani hvohabari kwakweli ni nzuri kiasi,
Vip kuhusu Dos attack wewe haukuwa muhanga?
@DAVETWoooooooyoooooooooo mnanipa wivu jamani sina wa kubebishana nae kapuku