za leo njema sana mkuu,
japo tulipata shida sana kuacces kuingia hapa jukwaani hapo awali ila sahivi mambo yamekaa njema.
BTW siku ilikwendaje?
Kuwa mpole mke mweee atarudi tuBaba D naona anapambana na hali yake jamani hata sijui katekwa na maandamano au katekwa na vyeusi mangala
Tutakugawia kipato we c vyuma vmekazaUnacheka tena ebu nijibu mie zinanihusu nini mke mwee
Asante mama wawili, wewe ndio kila kitu katika maisha yetu familia yetu kwa ujumla, unajua navyokupenda nawe unavyonipenda, Asante Asante sana mama wawiliNmekuja kumtakia kheri ya kuzaliwa baba wawili
Mungu amtimizie haja ya moyo wake
Ampe miaka mingi ya kuishi duniani
Obe ukipita hapa mchagulie wimbo mzuri aburudike pamoja na makapuku wote
HBD Shululu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si muongee kiswahili nyerere alikataza mambo za ukabila
naam aunt nimeitika kwa heshima zote maana wewe ndo wewe hakuna mwingine anayependwa na anko wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu
Liniii naongeaga na babu mie
Asante baba wawili barikiwa Mpaka ushangaeAsante mama wawili, wewe ndio kila kitu katika maisha yetu familia yetu kwa ujumla, unajua navyokupenda nawe unavyonipenda, Asante Asante sana mama wawili
Abeee shemelatumosa