Mm uvumilivu umenishinda binamu...hongera zaidi zije kwako aunt, si huwa wanasema mvumilivu hula mbivu!
Ndo maaana ukajitafutiaa dumeMm uvumilivu umenishinda binamu
Ndo maaana ukajitafutiaa dume
Onga mchweo mjukuu wangu?Sina nimuhogoa imi
Niedi babu angizeiweOnga mchweo mjukuu wangu?
Salama habari ya kwakowakuu habarini,
[emoji23] [emoji23] [emoji23]...hongera zaidi zije kwako aunt, si huwa wanasema mvumilivu hula mbivu!
Shikamoo binamuMuziki: Mapuuza Yasiyo Puuzwa
Ninakusalimia Kapuku mwenzangu, nikikupa pole ya mihangaiko ya siku nzima ya leo, kwa wale ambao giza limeshaingia na kwa wale wote ambao ndo kwanza ni saa nne asubuhi basi nikutakie kazi njema. JF ni bahari, wengine leo ni alhamisi ni mwaka 1439. Uzuri ni kuwa wote tupo humu na tunaifurahia JF na hasa makapuku forum, forum bora kabisa kwa sababu wewe upo.
Muziki sasa, usipuuze yasiyopaswa kupuuza, chukulia kila kitu kwa umakini unaotakiwa. Kuna puuza nyingine huzaa tatizo au shida kubwa usipochukua hatua. Nakupenda mdau mwenzengu na kukutakia wakati mzuri.
Shikamoo binamu
Nzahumua mjukuu wangu... Habai za ndimaNiedi babu angizeiwe
Umekula mbivu gani tena mjukuu wangu?.... Hujambo lkn?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nzuri mjukuu mwee.... AsanteHbr ya jioni wapendwa
Poleni na mambo yote
Hawajambo kbs binamu mambo yngu poaMarhaba binamu, mambo yako yakoje usiku huu na kina JJ
Cjambo shikamoo babuUmekula mbivu gani tena mjukuu wangu?.... Hujambo lkn?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nzuri mjukuu mwee.... Asante