Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Salama maka za weweHabar za asubuh ndugu zangu, mwajjionajena hali!!?
Salama maka za weweHabar za asubuh ndugu zangu, mwajjionajena hali!!?
Leta manenoKheeeeee
Hivi hizi I'd za toka jana zinatutukan mpaka nikakuhisi wewe jamani mkweLeta maneno
Inaitwa toka Jana hiyo ID?Hivi hizi I'd za toka jana zinatutukan mpaka nikakuhisi wewe jamani mkwe
Hapana jana zilikuwa mbili moja ikapigwa ban akaja na nyingine ikapigwa ban leo kaja na nyingine kanikuta na davet huko akanikuquote kila mwanamke anamquote acha kujiuza au punguza kujiuza yaan I'd zake zipo kwa ajili ya kukera watuInaitwa toka Jana hiyo ID?
Hapana kwakweli sio zangu mkweHapana jana zilikuwa mbili moja ikapigwa ban akaja na nyingine ikapigwa ban leo kaja na nyingine kanikuta na davet huko akanikuquote kila mwanamke anamquote acha kujiuza au punguza kujiuza yaan I'd zake zipo kwa ajili ya kukera watu
Usiniambie mbona hata ningejua ningekuwish chit chat hajaniambiaHapana kwakweli sio zangu mkwe
Jana mimi jukwaani sijaingia nilikuwa busy na birthday yangu hadi nikasahau kukualika mama mkwe
Davet hakukuambia?
Nilitamani kukuambia ila nikaogopa sanaUsiniambie mbona hata ningejua ningekuwish chit chat hajaniambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaNilitamani kukuambia ila nikaogopa sana
Nilihisi mama mkwe mkali [emoji23] hapendi utoto utoto
Shikamoo[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka
Kuwa na wewe uitike yako[emoji57][emoji57]Shikamoo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ni kheri tu shemelaMambo
Nafurahi kusikia hivyo!?Tunashukuru Mungu hatujambo shemeji yngu
Sawa shemeji.. [emoji385] [emoji385] utaongezea mnoga shemeji.Hakuna tatizo shemela endapo kutakuwa na shida ntakutaarifu
Ng'weeeee nini!?[emoji57] [emoji57] [emoji57]Kheeeeee
Mie mzima wa afya shunie.. Nimewamiss tu bh na husna muba.Salama maka za wewe
Hhmmmm.... Km nongwa kama kibibi kilichonyimwa hela ya ugoro..[emoji23]Kuwa na wewe uitike yako[emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjini kila mtu baby akasalimie kijijini kwaoHhmmmm.... Km nongwa kama kibibi kilichonyimwa hela ya ugoro..[emoji23]
Wapo mbona humu tu ndio adimuMie mzima wa afya shunie.. Nimewamiss tu bh na husna muba.