makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,534
Kwanini usijue bhana shunie akeeHata sijui jamani
Kwanini usijue bhana shunie akeeHata sijui jamani
Wacha wee, mambo ya mwambao hayo,roho yangu burudani ahsante mkuu kwa vitu hiv wacha nishushie na bavaria kadhaa burudani..Muziki: Tutajuana Tu
Weekend imeanza na muziki wa kutofikirisha ukiamua kucheza sawa, ukiamua kukaa ukitingisha mguu nalo sawa. Burudika na muziki na salamu zangu kwa anko wangu Lyon Lee ambaye yeye mahudhurio yake kwenye muziki wa aina hii ni kwa sababu ya kumpata yule dada wa Kikojani walikutana kwenye semina ya wenye viwanda.
Uwe na wikend njema
Wacha wee, mambo ya mwambao hayo,roho yangu burudani ahsante mkuu kwa vitu hiv wacha nishushie na bavaria kadhaa burudani..
Binamu naomba nibebe ya aslay...mambo ya ukumbi wa ccm kigamboni haya bhana ha hahahahahaha, hakuna fujo
Hahaa... Siku hizi nolasco mkuu....mambo ya ukumbi wa ccm kigamboni haya bhana ha hahahahahaha, hakuna fujo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakiharibiki kitu damu yangu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
BinnurAlamsiki!
Inakuwaje pesa inaongea..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo[emoji113][emoji23] [emoji23] [emoji23]
ShemelaBinnur
Mimi na familia yngu tuwazima wajionaje khaliHabar za asubuh ndugu zangu, mwajjionajena hali!!?
Naam shemelaShemela
Khali yangu mimi shemela, slhamdulillah iko vyema, hofu ilikuwa juu yenu tuu..Mimi na familia yngu tuwazima wajionaje khali
Ndugu yangu shululu kaniambia nitizame familia yake, sasa shemeji mie nataka nitoke kuna tatzo ama chochote kitu!?Khali yangu mimi shemela, slhamdulillah iko vyema, hofu ilikuwa juu yenu tuu..
MamboNaam shemela
Tunashukuru Mungu hatujambo shemeji ynguKhali yangu mimi shemela, slhamdulillah iko vyema, hofu ilikuwa juu yenu tuu..
Hakuna tatizo shemela endapo kutakuwa na shida ntakutaarifuNdugu yangu shululu kaniambia nitizame familia yake, sasa shemeji mie nataka nitoke kuna tatzo ama chochote kitu!?
KheeeeeeNdugu yangu shululu kaniambia nitizame familia yake, sasa shemeji mie nataka nitoke kuna tatzo ama chochote kitu!?