Makapuku Forum

Mh polisi wapi nida si walikuja mtaani kuandikisha ndio tukajiandikisha
Baada ya kuchukua taarifa zako + alama za vidole, ulifuata utaratibu wa kuwatambua raia wema na wabaya. Walio kuwa clean Bila ya makando kando awamu ya kwanza tu majina yao yalitoka wale wengine ilibidi waangaliwe ili wajiridhishe vizuri.

Nyagei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…