BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Kwanini niaiangalieha hahahaha, ambaye haruhusiwi kuangalia ni BH tu, weka tena ukae siti ya mbele kabisa, hainaga ushemeji, kamatia chini
Shunie huyoKhaaa jamani
Hakuna mume wanguHakuna mtu amesumbua leo..?
Hata aliekutania tania afu hukupenda utani wake?
Nakupenda mke wangu [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]Hakuna mume wangu
Nakupenda pia mume wangu Mimi[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nakupenda mke wangu [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Ulale salama kipenzi cha TNakupenda pia mume wangu Mimi[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
...@shunie alisema haipendi basi nikajua nawe hutoipenda hiyo ngoma hanahahhahaKwanini niaiangalie
Asante kiboko yangu...Ulale salama kipenzi cha T
Mmmh...@shunie alisema haipendi basi nikajua nawe hutoipenda hiyo ngoma hanahahhaha
YesSeriously?!
[emoji122] [emoji122]Tafasiri Unavyoweza: Matatizo Sio Vikwazo, Ni Miongozo
Hakuna siri kwamba tunapitia mambo mengi sana kibinafsi, kijfamilia, na hata kitaifa. Ndiyo, tunapitia mengi mazuri na mengi mabaya yanayotupa ujasiri, huzuni na mengine yanatufanya tukae chini kujiuliza kama njia tunayoenenda nayo ni sahihi. Njia zote tunazotumia kutaka kwenda tunapotaka si zile zilizonyooka pekee, kuna milima na mabonde bila kuyasahau makorongo na mitelemko. Tafasiri Unanvyoweza.
Wengi wetu ni watumiaji wa barabara, na barabara timamu ina alama za kukuongoza mtumiaji uwe unaitumia kwa miguu au kwa vyombo vya moto. Alama hizi kutaja chache ninazozifahamu ni pundamilia, alama ya kusimama na mwendo sahihi unaohitajika. Ndivyo na maisha yalivyo. Kuna alama za kila namna kwenye maisha na hasa ikiwa wewe ndo ushafikia umri wa kujiendesha mwenyewe. Kujiendesha mwenyewe maana yake kuna wakati utahitaji kuendeshana, tafasiri unavyoweza.
Usikwaze na alama za kukusimamisha (stop signs) hizi zipo, ziheshimu. Matatizo yawe ya mahusiano, kikazi, kifamilia, kiuchumi na kiimani kutaja machache ni alama ambayo haipaswi kukusimamisha katika kile unachoamini ni sahihi kwako na afya ya amani yako. Tumia matatizo kama muongozo (guideline) ya kukufanya ukomae na kulifikia lengo unalohitaji kibinafsi, kifamilia na kitaifa. Matatizo hayataisha na ndiyo maana umepewa kichwa chenye ubongo, yatatue uende mbele unapohitaji. Tafasiri Unavyoweza
Kaka braza mambo!
[emoji15]Na nyagei
Linamo haliwi na mtu mwingine, atakayethubutu nitafyatua hewaniNa nyagei
Kesho mimi nitachagua songi la kufurahiMuziki: Ubuyu Wa Rangi ya Lipstick
...nimeona nikutaarifu tu mapema ili usije ukasahau na ukadhani mimi nitasahau kukusalimia Kapuku wewe unayelianya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri ya kuwepo. Asante sana mjomba Lyon Lee kwa UF, nikushukuru BlessedHope kwa sala na salamu za upendo kwetu kila wakati unapopata nafasi ya kutushirikisha furaha yako, tunakupenda sana.
Mjomba wangu kakasirika sana wiki hii kisa kalenda kwanini imekomea tarehe 28 tu wakati alikuwa na booking ya tarehe 29/2/2018 na tayari alikuwa keshalipia nauli ya mgeni kuja kumbe kaingizwa jau na aunt yangu alikuwa hana taarifa maana taarifa ataitoa wapi wakati muda wote analamba ubuyu tu wenye rangi rangi iliyofikia hatua ya kutohitaji lipsticktena. Rangi ya ubuyu imekuwa ni mbadala wa lipstick. Hongera ubuyu wa Zanzibar
Muziki sana, kesho ni furahiday kama ulikuwa hujui, tambua sasa na jipange maana kama utaamua kwenda out hata kama umekaribishwa hakikisha una hela mfukoni
Hongera mtaasisi kwa kutupia 310kMimi huyo walidhani wataniacha mbali sana, wanarudi wakanikuta naongoza