Muziki wa Mdhamini: Booking, Si Msafiri
Usishangae leo muziki wa mdhamini umetangulia kipengele cha muziki. Sababu moja tu kubwa ni kwa sababu mjomba wangu
Lyon Lee kasema, huyu anko wangu wewe ukitaka kumuandikia usiache kusema hid my ID maana juzi kati kaangalia taarifa ya habari alipoona utabiri wa hewa kuwa mvua itanyesha badala ya kujiandaa kwenda kuwasaidia club ya Yanga kwenye mafurik yeye kafanya booking ya kimwili.
Anyway, ni mamb ya asili hayana mjita. Wimbo huu uburudike wewe kapuku na aunt yangu
Shunie, tafadhari wimbo huu
BlessedHope usikilize tu usiucheze hawa vijana wana kasi inaweza kukufanya usiende gym