Lazima alete pozi..Analetaa mapuuuzaaa
Nimewachaguliaa shululu na mr T ...ongeza na binamu na
Kili Marathon
Hahahaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kili Marathon
Kili Marathon
Walahiiii kama wa kwangu namgawa kwa bibi yake
MamboShem lake
Hahaha...Mimi huyo walidhani wataniacha mbali sana, wanarudi wakanikuta naongoza
Sipati pichaHahahaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ana kimbia kama D wa shunie na LeeWalahiiii kama wa kwangu namgawa kwa bibi yake
T wewe mimi mkweoLazima alete pozi..
Hunsa na BH wapo huku [emoji41][emoji3][emoji3][emoji3]
Hunie...najisikia kugombana na mtuu...Hahaha...
Hongera ako ake mtu
Sipati picha
T wewe mimi mkweo
Shikamoo mama mchungaji.. [emoji120]T wewe mimi mkweo
Asante Obe ubarikiweMuziki: Ubuyu Wa Rangi ya Lipstick
...nimeona nikutaarifu tu mapema ili usije ukasahau na ukadhani mimi nitasahau kukusalimia Kapuku wewe unayelianya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri ya kuwepo. Asante sana mjomba Lyon Lee kwa UF, nikushukuru BlessedHope kwa sala na salamu za upendo kwetu kila wakati unapopata nafasi ya kutushirikisha furaha yako, tunakupenda sana.
Mjomba wangu kakasirika sana wiki hii kisa kalenda kwanini imekomea tarehe 28 tu wakati alikuwa na booking ya tarehe 29/2/2018 na tayari alikuwa keshalipia nauli ya mgeni kuja kumbe kaingizwa jau na aunt yangu alikuwa hana taarifa maana taarifa ataitoa wapi wakati muda wote analamba ubuyu tu wenye rangi rangi iliyofikia hatua ya kutohitaji lipsticktena. Rangi ya ubuyu imekuwa ni mbadala wa lipstick. Hongera ubuyu wa Zanzibar
Muziki sana, kesho ni furahiday kama ulikuwa hujui, tambua sasa na jipange maana kama utaamua kwenda out hata kama umekaribishwa hakikisha una hela mfukoni
BabieHunie...najisikia kugombana na mtuu...
Brooh.....anataniana na mamkwe, atakosa maji ya moto
Khaaa jamani
Hakuna mtu amesumbua leo..?Babie
Naomba usigombane na mtu aki... Unajua hasira sio nzuri eeh!?? Nakuomba love