Wa mwisho kujua wapii wakati unakwepa majukumu binamu wangu .....
Lakini sawa ntafanyajee mimi nshaziandaa zawadii
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Sawa sawa shemela[emoji23] [emoji23] [emoji23] naanzaje kuibuka shemela acha nizame tu mm
Ushaanza mambo yako mimi nimenunua tu muuzajii kanambia siku hizi tr wanawabana nikamwambia wala usijalii haina haja ya risiti sasa naona unanichanganyaa tu hapa ...Majukumu siwezi kuyakwepa maana kuna wengine wakiniona navyomzimia wanaweza wakadhani mbinu mbadala zimetumiaka kumbe ni L. O. V. E ndo imetawala kwangu kwake.
Sasa wewe andaa zawadi nakuja kuzichukua nizipeleke maana huchelewi kutake advantage, na risiti nipatie kabisa ukose sababu
Nilipotea muda sana sasa nikaona nipitie kwa uchache tu kati ya mengi, au unataka niendelee?Shemela mbona kufukua makaburi[emoji134] [emoji134]
Nina 5 jukwaa's sasa sijui ni lipi kati ya hayo [emoji144]Kwenye jukwaa lako pendwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] mambo ya Shunie hayoMambo ya dogie sitaili [emoji3]
Nimesamehe baada ya kuandikaHahahaa..[emoji3][emoji3][emoji3]
Msamehe baba paroko
Pole sana bossNimetoka juzi sudan...
[emoji7]Amen Amen my Love asante kunitakia amani na birthday njema namshukuru Mungu kunifikisha umbali huu.
Nakumbuka bandiko moja la shunie...Nilipotea muda sana sasa nikaona nipitie kwa uchache tu kati ya mengi, au unataka niendelee? Nina 5 jukwaa's sasa sijui ni lipi kati ya hayo [emoji144] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mambo ya Shunie hayo Nimesamehe baada ya kuandika Pole sana boss
Zawadi yako nitakuleteaAmen and Amen asante sana mwanangu
La vibonge ??Nakumbuka bandiko moja la shunie...
Hatareee sanaa !
Hayo maeneo ya public ukifanyiwa surprise hiyo unajikuta umekuwa mpole na unatoa vya kutoa Bila shurutiWizi wa nini mkuu?
Kazi ni ndogo sana hiyo kwakeLinamo
Kazi unayo shemeji yangu...! Uncle nyagei wants sukari guru pale kwenye ngazi [emoji3][emoji3][emoji3]
Hao wanaolia ni watu wa Daslamu haoWeee...
Mchanga ukiingiia wanaliaga balaa..
Hilo ni zaidi ya kaburi maana lilisumbua humu kama katrinaMakaburi kuntuu
Ubarikiwe mama, nipo nawe kwenye maombiAmen my SON ASANTE BARAKA ZA MUNGU BABA ZITAWALE
Hayo ndo mambo sasa ....sio unabwetekabwetekaaa utakufaa nayo moyoniiiHappy Belated Birthday Wishes BlessedHope
Inawezekana heko yangu kwako juu ya tarehe yako ya kuzaliwa imekuja kwa kuchelewa hasa ukiangalia masaa yamepita tangu tarehe ya jana na leo ni siku nyingine tena.
Nakukumbusha tu kuwa Jukwaa hili, yes, Makapuku Forum ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe ni sehemu muhimu ya Jukwaa hili.
Nina mengi ya kuandika juu yako ukurasa huu usitoshe, itoshe tu kusema Heko ya kuumbuka kuzaliwa kwako BH
(nakupenda sana) na Makapuku wanakupenda pia
Weka kwenye bags...anko, hivi kwanini mimi ninakuwaga wa mwisho kujua? Au kwa sababu napenda kula ukoko so hata kama ninajua ninakuwa nasahausahau!!
Halafu hii ya mazawadi ungeweka siri iwe sapurayisi hadi tupate magift pepas. Wewe unataka tuweka zawadi nzuri kwenye sandalusi
Ukiona hivyo utakuwa hauna kismati [emoji23] [emoji23].....mbona mimi nakuwaga wa mwsho kujua jameni, hivi humu kuna kampeni ya kisirisiri kuninyima taarifa etieeee
HahahaMajukumu siwezi kuyakwepa maana kuna wengine wakiniona navyomzimia wanaweza wakadhani mbinu mbadala zimetumiaka kumbe ni L. O. V. E ndo imetawala kwangu kwake.
Sasa wewe andaa zawadi nakuja kuzichukua nizipeleke maana huchelewi kutake advantage, na risiti nipatie kabisa ukose sababu
Sijaliona ni lipi hilo boss?Nakumbuka bandiko moja la shunie...
Hatareee sanaa !
Nililiona kwenye lile jukwaa kabla sujaleft mkuu..Sijaliona ni lipi hilo boss?
Hiyo GIF ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]Happy Belated Birthday Wishes BlessedHope
Inawezekana heko yangu kwako juu ya tarehe yako ya kuzaliwa imekuja kwa kuchelewa hasa ukiangalia masaa yamepita tangu tarehe ya jana na leo ni siku nyingine tena.
Nakukumbusha tu kuwa Jukwaa hili, yes, Makapuku Forum ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe ni sehemu muhimu ya Jukwaa hili.
Nina mengi ya kuandika juu yako ukurasa huu usitoshe, itoshe tu kusema Heko ya kuumbuka kuzaliwa kwako BH
(nakupenda sana) na Makapuku wanakupenda pia
OMGLa vibonge ??
Teh Teh Teh, itabidi nikafanye utaliiNililiona kwenye lile jukwaa kabla sujaleft mkuu..
HaHaaa...Teh Teh Teh, itabidi nikafanye utalii