Nilikuwa chaka nene.... Ha ha ha ha haSiku nyingiiiiiiiiii sanaaaa
Uzakipata pee Ha ha ha ha haKaibuuu nzamisi kishambaa [emoji3][emoji3]
Marhabaa.. Jambo wewe?Shikamoo
Cjambo pole majukumuMarhabaa.. Jambo wewe?
He he kaibu babuUzakipata pee Ha ha ha ha ha
Ha ha ha... HongeaHe he kaibu babu
Asante mjukuu mweeCjambo pole majukumu
Hii bangi ujue..@mondray
[emoji120] [emoji120]Muziki: Ruka Juu
...ukisoma kichwa cha Muziki leo unaweza kukumbuka zile enzi za Tuka Juu, Banjuka Tu, ha hahaha, namkumbuka mwanamuziki Mkenya maarufu kwa jina la DNA. Ilikuwa ni shigda enzi hizo ndo tungweza kusema kwa sasa. U khali gani Kapuku muheshimika, natumaini umekuwa na wiki nzuri sana tangu mwanzo wa wiki na leo ndo tunaianza wikend. Happy furahiday na Sabato njema kwa waamini waaminio.
Nilikuwa na wiki nzuri binafsi, sijui kama nilikuambia kuwa ukiacha kazi kunibana, bado nilikuwa na nafasi ya kusoma kitabu cha hadithi, kusoma yanayoendelea humu JF na huwezi kudhani kuwa huwa sifiki lile jukwaa la chini kabisa (sina hakika kama BH) analijua maana mmmh! Huwa napiga story na anko wangu ambaye kwa kweli kwa sasa, si unakumbuka alienda Moshi kutekwa sasa naona mtekaji hakujua kuwa anko ni kama mhakiki ubora wa TBL, bia haiingii sokoni kama hajaionja, yaani kuanzia Safari lager hadi lite. Kumwekea dhamani utakonda
Muziki sasa, nisikuchoshe maana leo ni furahiday, take it easy. Love
Mama shikamooo[emoji120] [emoji120]
Shemela wangu shunie upo, nimekumisi sana,D hajamboHe he kaibu babu
Asante ObeMuziki: Ruka Juu
...ukisoma kichwa cha Muziki leo unaweza kukumbuka zile enzi za Tuka Juu, Banjuka Tu, ha hahaha, namkumbuka mwanamuziki Mkenya maarufu kwa jina la DNA. Ilikuwa ni shigda enzi hizo ndo tungweza kusema kwa sasa. U khali gani Kapuku muheshimika, natumaini umekuwa na wiki nzuri sana tangu mwanzo wa wiki na leo ndo tunaianza wikend. Happy furahiday na Sabato njema kwa waamini waaminio.
Nilikuwa na wiki nzuri binafsi, sijui kama nilikuambia kuwa ukiacha kazi kunibana, bado nilikuwa na nafasi ya kusoma kitabu cha hadithi, kusoma yanayoendelea humu JF na huwezi kudhani kuwa huwa sifiki lile jukwaa la chini kabisa (sina hakika kama BH) analijua maana mmmh! Huwa napiga story na anko wangu ambaye kwa kweli kwa sasa, si unakumbuka alienda Moshi kutekwa sasa naona mtekaji hakujua kuwa anko ni kama mhakiki ubora wa TBL, bia haiingii sokoni kama hajaionja, yaani kuanzia Safari lager hadi lite. Kumwekea dhamani utakonda
Muziki sasa, nisikuchoshe maana leo ni furahiday, take it easy. Love
Heri ya mwaka mpyaHa ha ha... Hongea
Mama shikamoo[emoji120] [emoji120]