Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE

Kwajina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Amen

Baba katika Jina la Yesu Asante kwa siku mpya ya leo Jumapili tarehe 14 JANUARI
2018 ambayo umetuchagua tena tuweze kuuona Utukufu wako.

watu wengi walitamani nafasi hii hawajaweza kuiona siku ya leo uliwatwaa Baba .

Karibu Roho Mtakatifu shusha Mapaji tuwe Imara siku ya leo

BABA Tunakuomba Utusamehe makosa yetu yote ambayo tumetenda kwa mawazo kwa maneno kwa matendo na kutotimiza wajibu wetu mbalimbali tulionao.

Uturehemu twakusihi Baba yetu

Tunaomba utusaidie kuwasamehe wale wote waliotukosea Mfalme wa Amani walioomba msamaha na wale ambao hawajaomba msamaha tuwasamehe na kuyasahau yote waliyotutendea

Wabariki wote katika Ndoa zetu na nyua zetu familia zetu Waume Wake Watoto Wasaidizi wa ndani Ndugu Jamaa Marafiki Wachumba wakutafute wewe kwa bidii Baba.

Bariki Watumishi wote wa Mungu wote ulimwenguni uwaandae Baba wakalishe Waumini kinachokupendeza na ukaonekane kwa watu wote katika ibada za leo jumapili ya pili ya mwaka na mwezi huu.

Bariki viongozi wa Serikali wakutafute kwa
Bidii Nchi iwe na Amani wakatende haki na kuwa na hofu yako Baba itawale kwao.

Baba Ponya Wagonjwa na ponya dawa wanazotumia na wanawauguza waweze kutoa huduma kwa Upendo wasipungukiwe.

Tunakushukuru kwa uponyaji unaoendelea Baba kwa wagonjwa wetu wote tunaomba afya zao zizidi imarika

Walinde wajawazito wote na wanaojifungua Baba umewapa kibali cha kushiriki kazi ya uumbaji kila walichobeba ni wazo lako Baba tunaomba wawe salama mikononi mwako wao na viumbe ulivyowakabidhi mfalme wa Amani
Asante kwa uwepo wako katika vipindi vyote vya uumbaji na ushiriki wao.

Baba Bariki wasafiri na vyombo Majini Nchi Kavu na hata Angani ukawe Dereva mwema Damu ya Yesu itufunike tuendako na tunakotoka tuwe salama.

Baba wafariji Wafiwa Wajane Wagane Yatima Wafungwa Mahabusu Wenye huzuni na wahitaji wote Walioachwa Waliotelekezwa wasio na chakula Waliodhurumiwa wakuangalie na kukutegemea wewe tu maana imeandikwa Heri aliyemfanya Bwana kuwa Tumaini lake.

Baba tunaomba Ubariki Sadaka zetu na matoleo mbalimbali tutakazokutolea na kabla hatujakutolea Basi Baba Tupatane na Wenzetu Tuwasamehe Tuwapende daima.

Epusha Wivu Visasi Masengenyo Chuki Dharau Kiburi Kujisahau na Majivuno ili Sadaka zetu Zikakubalike mbele yako ziwe za Kukupendeza Mfalme wa Amani

Bariki kila kazi za mikono yetu ziwe Halali na za kukupendeza

Baba Asante kwa Sababu Unatupenda na utajibu sawasawa na mapenzi yako Amen

Tunaomba yote haya kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen

JUMAPILI NA IBADA NJEMA WAPENDWA

DAMU YA YESU ITUFUNIKE

SHALOM
 
Ameni barikiwa mama mchuchu
 
Amina shalom
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom