Makapuku Forum

HERI YA MWAKA MPYA NAWE PIA KITIME..LONG TIME SIJAMUONA..GITAA LIMETULIA..UBARIKIWE OBE..MUZIKI MAPEMAAA NA TULALE MAPEMAA.[emoji120]
 
Reactions: Obe
HERI YA MWAKA MPYA NAWE PIA KITIME..LONG TIME SIJAMUONA..GITAA LIMETULIA..UBARIKIWE OBE..MUZIKI MAPEMAAA NA TULALE MAPEMAA.[emoji120]

....umejuaje lakini kuwa muziki mapema ili nilale mapema. na wewe kumbe unalala mapema?

Kitime nami sijamuona kitambo sana ukiondoa hii clip niliyoiokota YouTube. Nimefurahia tu kumuona kama ninavyofurahi zaidi kukuona wewe
 
Nami nimefurahi kukuona leo ubarikiwe[emoji120]
 
....anko tunajuana bhana, wewe kama Mmasai tu, kukuwekea dhamani ni kutafuta kukonda tu.

Anko wangu baada ya kumaliza tofauti zake na ABJ

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakya nani anko tumempata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…