Ni Ngoda mume wa demi kwani humjui hamjawahi onana huko mitaaniHehehe
Ni nani huyo eti
EeehNi Ngoda mume wa demi kwani humjui hamjawahi onana huko mitaani
Ndio huyo yeye anakujua vizuri tuEeeh
Sikumbuki hata
AiseeeNdio huyo yeye anakujua vizuri tu
Naomba nyimbo mie niliyochaguaAnkooo, niaje niaje!
Naomba nyimbo mie niliyochagua
Duuu, una nini leo?
Hakuna kingine binamu ni nyimbo tu...umeipata, nini kingine aunt yangu wa ukweli
Cheka tu hakuna namna maisha yenyewe mafupi hayaUnachekesha
Sina chochote vipiii me nimechagua nyimbo au siruhusiwi kuchaguaDuuu, una nini leo?
Binamu nimekuwa mtoto enh nasubiri nguo ya sikukuu kwa fundisikukuu keshokutwa na fundi hajamalizia nguo ya kutokea, kwa hiyo kila anayekaa mbele yake anaonekana kama fundi, nawaza tu