Makapuku Forum

Hilo ndio muhimu..mengine yatakuumiza tu..hayajengi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji524]Wakolosai 3

14 .Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.

15. Na amani ya Kristo iamue mioyoni mwenu; ndiyo mliyoitiwa katika mwili mmoja; tena iweni watu wa shukrani.


USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE[emoji120]
Ameen Mama uwe na usiku mwema [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…