Hahahahaaaaa
Nimecheka huko nilikokuwa hadi basi.
Kuna kanisa huko south Africa wat wanakunywa beer wakati wa ibada. Kuanzia mchungaji hadi waumini.
Sass hili sio jambo la kufurahi ila mimi nimemkumbuka
Shunie nikaanza kucheka tuu.
Hilo kanisa wakula Heineken tuu! Sijui wana share na heineken..
Shunie Twende zetu south basi