Makapuku Forum

Binamu kuwa serious toa mambo ya utani hivyo vitu uvisikie tu


...niko serious aunt, kama hujui nguvu ya utani kwenye misiba basi hujawahi kuhudhuria kikamilifu. Msiba unatisha lakini kuna maisha lazima yaendelee hata kabla ya kuzika. Najua ninachoongea, nimefiwa na nitafuata njia hiyo hiyo maana makaburi hayaja-jaa hata nilie kwa kugaragara

jamii zetu ndo zimekuwa zikiishi namna hii, kwa hiyo usidhani siumizwi na msiba na hasa nikijua kabisa kuna wategemezi wameachwa. lakini, je tuendelee kulia tu na kuvaa viatu bila kuvivua, na je si inapendeza kabla ya kuvaa viatu uvae soksi au mwenzetu hunukagi miguu

Mada ngumu hizi najua wengi hatupendi humu Makapuku
 
Mathayo 15:18-19

>>basi vitokavyo kinywani vyatoka moyoni, navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi.

>>Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wivi, ushuhuda wa uongo na matukano.

USIKU MWEMA

...labda sijaelewa, kwa hiyo mambo mazuri hayatoki moyoni (literally translation)? yanatokea wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…