BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ameni[emoji524]TUOMBE
Mwenyezi Mungu Mtakatifu, Mfalme wa wafalme,Baba wa Milele,Mshauri wa Ajabu,Mungu mwenye Nguvu Asante kwa kutufikisha siku hii ya leo JUMAPILI,10 DESEMBA 2017 salama wako wengi walitamani kuiona siku ya leo hawajaweza sisi ni nani Baba Mtakatifu
Tunakushukuru kwa sababu Upendo wako ni mkuu kwetu, Kwa sababu unatulinda na kutuongoza, Kwa sababu unatupigania, Kwa sababu Unaweza yote,Unajua yote,Upo kila mahali. Mungu wetu tunaomba usinyamaze kila tukuitapo sisi peke yetu hatuwezi.
Tupiganie katika kila Jambo,Tufundishe,tushauri na kuturudi tunapokukosea. Mungu bariki Afya,Kazi,kusudi,Uchumi na Imani zetu.
Waponye wagonjwa wote Baba majumbani na mahospitalini,
fariji wafiwa wote wape faraja yako popote walipo,angalia wajane,wagane,
yatima Baba wape hitaji la mioyo yao,wasaidie wote wanaopitia changamoto mbalimbali.
Wasaidie wasafiri wote kokote waendako majini,nchi kavu na angani waende na kurudi salama..ponya mioyo yote inayotaabika kwa huzuni ,taabu na dhiki ,tuongezee imani Baba tukuangalie wewe tu maana wewe Baba hukawii wala huwahi jibu lako ni ndiyo.Roho Mtakatifu kaa nasi siku zote za maisha yetu.
Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.
JUMAPILI NJEMA,MUNGU AONEKANE KWETU KATIKA IBADA ZOTE SIKU NJEMA MBARIKIWE.
Barikiwa mama mchuchu.[emoji524]TUOMBE

Babe
Am much better lovely Mom, just missed you more!!!Yes darling daughter..hope you are good God Bless you[emoji120]
Be blessed[emoji524]TUOMBE
Mwenyezi Mungu Mtakatifu, Mfalme wa wafalme,Baba wa Milele,Mshauri wa Ajabu,Mungu mwenye Nguvu Asante kwa kutufikisha siku hii ya leo JUMAPILI,10 DESEMBA 2017 salama wako wengi walitamani kuiona siku ya leo hawajaweza sisi ni nani Baba Mtakatifu
Tunakushukuru kwa sababu Upendo wako ni mkuu kwetu, Kwa sababu unatulinda na kutuongoza, Kwa sababu unatupigania, Kwa sababu Unaweza yote,Unajua yote,Upo kila mahali. Mungu wetu tunaomba usinyamaze kila tukuitapo sisi peke yetu hatuwezi.
Tupiganie katika kila Jambo,Tufundishe,tushauri na kuturudi tunapokukosea. Mungu bariki Afya,Kazi,kusudi,Uchumi na Imani zetu.
Waponye wagonjwa wote Baba majumbani na mahospitalini,
fariji wafiwa wote wape faraja yako popote walipo,angalia wajane,wagane,
yatima Baba wape hitaji la mioyo yao,wasaidie wote wanaopitia changamoto mbalimbali.
Wasaidie wasafiri wote kokote waendako majini,nchi kavu na angani waende na kurudi salama..ponya mioyo yote inayotaabika kwa huzuni ,taabu na dhiki ,tuongezee imani Baba tukuangalie wewe tu maana wewe Baba hukawii wala huwahi jibu lako ni ndiyo.Roho Mtakatifu kaa nasi siku zote za maisha yetu.
Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.
JUMAPILI NJEMA,MUNGU AONEKANE KWETU KATIKA IBADA ZOTE SIKU NJEMA MBARIKIWE.
HunieBabe
I miss you lovieHunie
Bless U[emoji173]Am much better lovely Mom, just missed you more!!!
Bless U daughter[emoji173]Ameni
Ubarikiwe pia mom[emoji7] [emoji7]
Bless U T wa Sakayo Miss U[emoji173]Barikiwa mama mchuchu.
Ahsante mkuuGoodlunch makapuku"
Tarime[emoji870][emoji870][emoji870]
Pamoja sana mkuuAhsante mkuu
Miss you pia mama mlezi wa mpendwa wangu.Bless U T wa Sakayo Miss U[emoji173]
Ubarikiwe sanasana [emoji120]Miss you pia mama mlezi wa mpendwa wangu.
Miss you tooI miss you lovie
Miss the Transcend'sMiss you too