Anatumia sanduku la posta langu zinapitia kwangu nazisoma ndio nampelekea vipi nikupe...una sanduku la posta la BH nimwandikie barua rasmi ya ujio wangu Kigamboni maana nishajua namna bora ya kukwepa vikwazo vyenu, barua ya sanduku la posta. , atafungua mwenyewe
Tutaenda wote...una sanduku la posta la BH nimwandikie barua rasmi ya ujio wangu Kigamboni maana nishajua namna bora ya kukwepa vikwazo vyenu, barua ya sanduku la posta. , atafungua mwenyewe
Njema, mzima shunieSafi za wewe
Anatumia sanduku la posta langu zinapitia kwangu nazisoma ndio nampelekea vipi nikupe
Tutaenda wote
Mzima sana sijui wewe mouNjema, mzima shunie
Haya yanitwaje? Yanaliwa?Haya, matunda yenu haya hapa
Ndio uandike basi nijisomee mie...mmmh, kumbe unazisoma kwanza! Mistari nitakayokuwa nimemuandikia humo unaweza kushangaa ndo ile ile aliyotumia anko wangu kukupata wewe
Yanaitwa obeeHaya yanitwaje? Yanaliwa?
Poa poa, shunieMzima sana sijui wewe mou
Malimao pori, huwa yanaliwa porini hukoooo
Yanaitwa obee
Wa mjini mkiyala mnakufwa ni sumu kwenu..oh, sasa mbona nilikuwa sijui!? Inakuwaje ninakuwa wa mwisho kujua kuwa yanaliwa porini huko huko.
Kwa hiyo kama yanaliwa huko porini, sisi wa mjini hayatufai, eti eeh
Umejuajee binamu...utapata njaa bure kwa kutamani matunda, nakuoan tu ulivyojaa mate kama Eva bustanini Eden
...duh, yana jina kama langu ila likiitwa kimalavidavilavidavi, sio kama jina langu likiitwa na mwalimu wa zamu