lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Apate maombiHuyu hana lolote
Apate maombiHuyu hana lolote
Tupo, habari za Pandagichiza??Wangwana mupo
Hahahah kama ulivyoacha ndo vile vileKweli nimekuwa mgeni....hata sielewi kinachoendelea
Apotee tuApate maombi
Ha haah haaah .....MPE anachotakaAende kwa Chris mauki amshauri
Huku safi tulikuwa busy kufungulia maji kwenye majeruba ya mpungaTupo, habari za Pandagichiza??
Asante mdogo wanguKaribu tena
Yes......Wakuu kesho tarehe 9 mwezi wa 5 huu uzi utatimiza mwezi hapa
Mwezi mmoja tu ila una replies 30k
Sipati picha tukitimiza mwaka
Sipo humu muda vipi hakuna watu ambao wameshaoanaTupo, habari za Pandagichiza??

Na kweliApotee tu
Mtabadilisha sana wachezajiJamani baadae kidogo ngoja niingie uwanajni hapa nichukue nafasi ya Hamisi Kiiza...maana anazingua hafungi magoli
Njema mkuu mambo yamenyoookaKwema kabisa brother.
Habari ya weekend.
Hana faida kabisaNa kweli
Te te te te teTuna maneno kweli ila hatushindi madalali![]()
![]()
Hahahahahha.....eti binti.Marahaba binti, karibu