Makapuku Forum

Aminaa mama
 
Happy bday kwakee
 
Namshukuru mungu kwa hiloo.. mito inanipa raha, nina mpango wa kuongeza mingine tena..
Wapendwa tuwe makinibsana tunapoandika haya majina kwa kumaanisha na kuheshimu kama tunamzungumzia MUNGU BABA MWENYEZI ALIYETUUMBA TUONESHE KUMHESHIMU HATA TUNAPOANDIKA NA KUMTOFAUTISHA NA miungu MINGINE


MUNGU...[emoji736] Mungu[emoji736] mungu[emoji777]

BWANA[emoji736] Bwana[emoji736] bwana[emoji777]

YESU[emoji736] Yesu[emoji736] yesu[emoji777]

Kama tunamaanisha huyu MUNGU ALIYETUUMBA

SHALOM
 
Ahsante mama mchungaji, lakin kwanini nimtofautishe na miungu mingine wakat mie najua hakuna mungu zaidi yake, kwahyo nikiandika MUNGU au Mungu tayar nakuwa nimekili kuna mungu wengine kitu ambacho si kweli, MUNGU ni mmoja, awe mungu,Mungu au MUNGU mie ninapoandika mungu nafsi yangu imekuwa imemmaanisha mungu huyo huyo mmoja kikubwa ni nia na yakini tu dada yangu mpendwa.
 
Hata kwenye biblia wametifautisha wanapoandika khs Mungu na miungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…