Makapuku Forum



...goma limetulia sana, mistari mizuri pia ila huyu biTiwa kaniudhi sana kwanini kavaa shati kiunoni hata sijaona akicheza vizuri matackle kama kutako exams
 
Ama kweli hapa ni home of makapuku[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

...yaani hapa ndo penyewe, wewe ushaona wapi mtu anaulizia heater guest house za Dar.
Jiji linalojulikana kwa joto kali kiasi kwamba paka wa mchepuko wa anko wangu anakataaga maziwa anataka ice cream za azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…