Makapuku Forum

Aliyoshirikishwa na Panto huyo mdada huwa haaribu halaf binamu we kijana sio mbabu kama ninavyowaza

...ehe, umesahau kila siku nasema kuwa mimi ni kijana sana mwenye mambo ya kizee, yaani ukija kunitembelea mida ya kula uje na msosi wako na kinywaji hapa utafaidi maji tu na makochi ya leather. Nina makochi ya leather kama nilisahau kuwaambia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…