Makapuku Forum

Maka zinakuozeaje jaman we endelea kuniwekea nitazichuku kwenye tar 20 na kitu hivi huu mwezi natakiwa niwe na mahela sana [emoji4][emoji4]
 
Mie siwez kutunza pesa kama wazaramo wanavyomtunza mwali siku ya ngoma[emoji23] [emoji23]

Kwangu pesa yake matumizi bhana, siwez kuwa na visenti nihangaike kuvitunza, yaani nihangaike kuzisaka halafu nihangaike tena kutunza.. [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…