Makapuku Forum

We omba tu Obe,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ... Haiwezekani moneytalk dhamana bhana, atakuwa katako maswali yote ipasavyo..[emoji23] [emoji23]


...unajua unaweza kusema anatako wakati hujamuona. Maana kufanya tako liwe na ufanisi inahitaji juhudi kubwa sio kula tu, lazima ujiandae vizuri kwenye pepa ndo tako utaona linafanya kazi

Angalizo: Tako=tackle (kivumishi cha kuonesha kukabili maswali ya mtihani), usijaze maana chafu
 
Hapana mimi japo sijamuona moneytalk, ila naamin anatako vizuri maswali yote ya mtihani [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…