Makapuku Forum

Muziki: Mdhamini Hataki Maneno

...nilikuwa naangalia soka hapa na kwa kweli game ilikuwa 'tamu' kifupi timu nayoishangilia imeshinda. Narudi kwenye muziki sasa maana mdhamini wa muziki wa wikend ambaye kwa bahati mbaya ni aunt yangu tunayempenda kasema hataki maneno na mimi siwezi kumjaza maneno maana kiukweli wikend hupaswi kuwa na stress na ndo siku ya kudelete na kudownload mambo mapya.
Mdhamini hataki maneno na hajataka hata kudedicate muziki kwa yeyote, so sikiliza at your own risk maana Shunie hataki maneno

 
Binamu yangu mimi
santee huyu mtoto anaimba hii nyimbo mwanzo naanza kuiskiliza sijui kama yeye ndio aliyeimba halaf binamu nilikwambia sitaki maneno mie hayo maneno veep asiangalie yeyote hii nyimbo jamaan
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…