makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,993
- 104,490
Hhmmm... Haya.Hata sikumbuki
Ni sakayo nishakuambia me ganzi arosto hiyo veeepKwani si wewe ndio mwenye arosto!!
Hvyo ndio inavyopaswa.. penda unapopendwa...Yaan maka me nilivyo nitakupenda lakini nionyeshe drama zako nitakuchukia mara mia utajiuliza hivi huyu ni yule shunie halaf nakusahau dk sifuri tu
Ahahhaha leo unaweza mkuta makaMwenyewe ujue, Jana nilimkuta obe, nae akaanza koroma
EwaaaaaaHvyo ndio inavyopaswa.. penda unapopendwa...
Utakuta vigagula tu na nyungo zao wanapaa..Ngoja nlale mie, nitarudi mida ya mshana mie
atawakuta Wachawi wanapiga manyanga na chepetu chepetu mahepeUtamkuta nani sasa
We shunie wee.. mie sipew hovyo hovyo, utanasa kama wachaw kwenye kuta za kanisa..Sijaelewa mie kwani nikikupa ndio nini si nakupa tu
Duh... Pole ndugu yngu.Mie niko mwenyewe ujue, hujaona naambiwa ngorongoro hamna network Maka
Mwenyewe ujue, Jana nilimkuta obe, nae akaanza koroma
Hawezi kunikuta, ntakuwa napambana na hali yangu.. nagalauka na mito kitandani.Ahahhaha leo unaweza mkuta maka
Basi sikuelewa.Ni sakayo nishakuambia me ganzi arosto hiyo veeep
HayaAhahhaha leo unaweza mkuta maka
Bora na mie nipae, ujue vigagula hawana stelesiUtakuta vigagula tu na nyungo zao wanapaa..
AsanteDuh... Pole ndugu yngu.