Alaaaa sasa kumbe nini[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kauzu zaidi ya dagaa
Kapuku zaidi ya mkongwe
Kiburi zaidi ya JEURI
Fisadi zaidi ya kibaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......................
Hvyo ukose watt kweli?Mimi mpira sitaki mkuu.
Inapoteza uhalisia.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu unaakili sana.
Mimi pia nilikuwa nataka niulize hii kitu.
Hapa ni mabibo siyo eeeh?
Nilikuwa church ndo naelekea home......bado sijapitia story zenu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....................
Hiyo sasa setMpaka 12
Ndio hivyo.....Kumbee
Hahaaa ndio tunayoitaka wifiHiyo sasa set
Jizoeshe kupenda ibada zote mkuuPoa poa, mi huwa najitahidi niende asubuhi kabisa ... Ikinipita ibada ya asubuhi nakuaga mzito kwenda
[emoji101] [emoji101] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Mh sasa hutumii zana, unakwepaje watoto ka anaowapata lizziebettie?
Vidume vya mbeguWote ni vidume
Ndo manake ......naishi Mabibo uswahiliniHapa ni mabibo siyo eeeh?
Unamaanisha brother Th Name anamiliki ile ya (Y) tu ila ya (X) amekosa?Wote ni vidume
Asante sana[emoji120] [emoji120]Karibu sana
Asanteni.Karibu sana
Basi sawaaaaaaKabisa.
Usimwambie mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Usiogope[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Yeah! Watafute majike tuVidume vya mbegu
Sina harakaDada nawe changamka bhana niitwe unkooo
Hahaha[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji443]Kafanana na FaizerFix(ngariba WA Jf)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Karibu tenaAsanteni.
Kweli nimeamini umoja ni nguvu kwa kweli.
Haya.....wacha nikawajibike....ila hongereni sana